VIDEO: MAMBO YAMENOGA...MUDA NDIO HUU MTANZANIA...

Haya sasa hayawi hayawi sasa yamekuwa!! Ewe Mtanzania tukiwa tumebakiwa na Siku 16 tu Kuelekea Uchaguzi Mkuu, Fanya hima sasa kuhakiki taarifa za kitambulisho chako cha Mpiga kura haraka iwezekanavyo ili Ujihakikishie Oktoba 28 unampigia kura Dkt John Pombe Magufuli kuwa Rais wa Tanzania pamoja na Wabunge na Madiwani wote wa CCM. Tembelea vis.nec.go.tz kuhakiki taarifa zako sasa. Kura Zote ni Magufuli na CCM tu.#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM

Comments