MITANO MINGINE KWA JPM: YAJAYO NI NEEMA TUPU...SHIRIKI KATIKA KUANDIKA HISTORIA HII

MITANO MINGINE KWA JPM: YAJAYO NI NEEMA TUPU...SHIRIKI KATIKA KUANDIKA HISTORIA HII MITANO MINGINE KWA JPM: Shiriki katika ushindi wa kihistoria tarehe 28 Oktoba. Mtanzania jiunge kuchagua maendeleo, amani na taifa bora kwa watoto wetu. Sote tutakuwa sehemu ya ushindi wa asilimia 90. Chagua Dkt. John Pombe Magufuli. @ccmtanzania #KuraKwaMagufuli2020 #T2020JPM

Comments