MAMA SAMIA SULUHU AENDELEA KUCHANJA MBUGA...HAYA HAPA YALIYOJIRI LEO 10 OKTOBA, 2020

Kutoka Rukwa. Yaliyojiri kwenye Mwendelezo wa Kampeni za Kunadi Sera za CCM, Kunadi Ilani na Kuomba Kura kwa Wananchi Kwenye Mkutano wa Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM Mama Samia Suluhu Hassan wa Wilaya ya Nkasi Kaskazini Mkoani Rukwa. Mama anaendelea Kuchanja Mbuga kuongea na Watanzania na Kumuombea Kura Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli.
#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM

Comments