LITAKUFA JITU: Kesho Uwanja wa Taifa wa MKAPA Kutawaka Moto...

JIJI LA DAR KUHAMIA KWA MKAPA KESHO....USIKUBALI KUPITWA MDAU.JAMBO KAMA JAMBO: Kwa Mkapa Kesho Kinaumana. Ni Mwendelezo wa Mikutano ya Kampeni za Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli. Tutaeleza tulikotoka, Tulipo na Tunakoenda na Kueleza kwa Mapana Sera na Ilani yetu iliyoshiba na kugusa kila eneo la Maisha ya Mtanzania. Vijana Wasanii Wakiongozwa na Diamond, Harmonize, Alikiba, Nandy na Wengine zaidi ya 20 Watakuwepo kueleza kwa njia ya Sanaa ushuhuda wao wa Mambo makubwa yaliyofanyika ndani ya Miaka 5 tu.

Ni ndani ya Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam Kuanzia Saa 2 asubuhi. Usikubali Kusimuliwa Wala Kuhadithiwa. Njoo tusherekee pamoja huku tukifurahia Sera bora za CCM. @ccmtanzania #T2020JPM

Comments