JPM KULISIMAMISHA JIJI LA DAR KWA SIKU NNE...SHUGHULI INAANZA IJUMAA HII UWANJA WA MKAPA

RATIBA KAMILI YA KISHINDO CHA JPM DSM: Kituo Kinachofuata ni Dar es Salaam. Ni Ijumaa Oktoba 09, 2020 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli ataendelea na Mikutano yake ya Kampeni za Kunadi Ilani ya CCM, Sera na Kuomba Kura Mkoani Dar es Salaam. Dar es Salaam Baba Mwenye nyumba amefika. Unamkosaje Sasa?. #T2020JPM

Comments