JPM KUENDELEA KUUNGURUMA JIJINI DAR...MITAMBO INAHAMIA ILALA - JUMATATU, 12 OKTOBA

JPM anaendelea kuunguruma ndani ya Jiji la Dar es Salaam na Mara hii mitambo imehamia ndani ya Wilaya ya Ilala. Ni Siku ya Jumatatu Oktoba 12, Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli atazizima na kuendelea na Mikutano yake ya Kampeni Kwenye Viwanja Vya Kinyerezi, Ilala. Jiji Litasimama hivyo Mwambie Mwenzako kwamba mpango mzima Jumatatu ni Kinyerezi, Ilala. #T2020JPM.

Comments