HABARI PICHA: MAGUFULI AITIKISA UBUNGO LICHA YA MVUA KUNYESHA....HIZI HAPA KAULI ZAKE AKINADI SERA LEO

Habari picha. Nukuu za Aliyoyaongea Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM Dkt John Pombe Magufuli Leo Jumanne Oktoba 13 Kutoka Kwenye Viwanja Vya Barafu, Mburahati Jijini Dar es Salaam. Safari ya mbeba maono kukutana na Wananchi Kunadi Sera na Ilani bora ya Maendeleo ya CCM inaendelea.
#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM

Comments