HABARI PICHA: KAWE HAPATOSHI MUDA HUU...Cheki Yanayoendelea Kujiri Kwenye Viwanja Vya Tanganyika Packers

Yanayoendelea Kujiri Kwenye Viwanja Vya Tanganyika Packers Vilivyopo Kawe kwenye Mkutano Mkubwa wa Kampeni za Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli. Viwanja vimejaa na Vinaendelea Kupendezeshwa na Sera nzuri za CCM zinazonogeshwa pia na Kazi za Sanaa za Wasanii wetu Wakiongozwa na Diamond Platnumz, Harmonize, Alikiba, Nandy na Wengine wengi.
#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM

Comments