Aliyoyazungumza Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Kwenye Mkutano wake na Wazee...Afafanua Mwenendo wa Kampeni za CCM

 Habari na Picha. Aliyoyazungumza Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally Kakurwa Kwenye Mkutano wake na Wazee wa Zanzibar Uliofanyika siku ya Jana Kwenye Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar. Dkt Bashiru amepata nafasi ya Kuwaambia Wazee wa Zanzibar Mwenendo wa Kampeni za CCM. #T2020JPM #Mwinyi2020.

Comments