Posts

Showing posts from October, 2020

2,103 Job Vacancies From Government, Public and Private Sectors Tanzania | Today 24th October, 2020

Image
📢USIPITWE CHECK AJIRA/FURSA/TAARIFA MUHIMU ZA ELIMU HARAKA NA KIRAHISI ZAIDI! INSTALL APP YETU YA AJIRALEO TANZANIA, BONYEZA HAPA!💥💥NOTE: KAMA WATUMIA IPHONE AU APP INAGOMA KWENYE SIMU YAKO, USIJALI; JIUNGE NASI TELEGRAM, BONYEZA HAPA💥 💥IKIWA UNAPATA SHIDA KUFUNGUA LINK TUCHEKI WHATSAPP. TUMA TEXT NENO AJIRALEO TANZANIA. KUTUMA,BONYEZA HAPA💥

HABARI PICHA: Aliyozungumza MAGUFULI Leo BAGAMOYO Katika Mkutano Wake Mkubwa wa Kampeni

Image
Shujaa Dkt John Pombe Magufuli is Back na Leo Jumatatu Oktoba 19 ameendelea kuwasha Mitambo ya Kunadi Sera na Ilani bora sana ya Maendeleo ya CCM na haya ndiyo aliyoyaongea Mgombea huyo wa Urais wa CCM Kwenye Mkutano wake Mkubwa wa Kampeni Uliofanyika Viwanja Vya Mwanakalenga, Bagamoyo Mkoani Pwani.
#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM

HABARI PICHA: ALIYOZUNGUMZA MAGUFULI LEO KAWE KATIKA MKUTANO WAKE MKUBWA WA KAMPENI

Image
Habari picha. Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli ameendelea Kunadi Sera na Ilani ya CCM Kwenye Mkutano wake wa Mwisho Mkoa wa Dar es Salaam Kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe. Haya ndiyo Aliyoyaongea Kwenye Mkutano huo wa Kufungua Awamu ya 6 na ya mwisho ya Kampeni za CCM. #KuraKwaMagufuli2020 #T2020JPM

HABARI PICHA: KAWE HAPATOSHI MUDA HUU...Cheki Yanayoendelea Kujiri Kwenye Viwanja Vya Tanganyika Packers

Image
Yanayoendelea Kujiri Kwenye Viwanja Vya Tanganyika Packers Vilivyopo Kawe kwenye Mkutano Mkubwa wa Kampeni za Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli. Viwanja vimejaa na Vinaendelea Kupendezeshwa na Sera nzuri za CCM zinazonogeshwa pia na Kazi za Sanaa za Wasanii wetu Wakiongozwa na Diamond Platnumz, Harmonize, Alikiba, Nandy na Wengine wengi.
#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM

MAJALIWA Aunguruma Zanzibar....Haya Hapa Makubwa Aliyoyaongea Leo Akimnadi HUSSEIN MWINYI

Image
Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM-Taifa Ndugu Kassim Majaliwa ameunguruma Visiwani Pemba leo na haya ndio aliyoyaongea Kwenye Mkutano Mkubwa wa Kampeni za Kumnadi Mgombea Urais wa CCM Visiwani humo Dkt Hussein Ali Mwinyi Kwenye Viwanja Vya Mchanga Mdogo. #YajayoniNeematupu #Mwinyi2020

HABARI PICHA: MAGUFULI AITIKISA UBUNGO LICHA YA MVUA KUNYESHA....HIZI HAPA KAULI ZAKE AKINADI SERA LEO

Image
Habari picha. Nukuu za Aliyoyaongea Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM Dkt John Pombe Magufuli Leo Jumanne Oktoba 13 Kutoka Kwenye Viwanja Vya Barafu, Mburahati Jijini Dar es Salaam. Safari ya mbeba maono kukutana na Wananchi Kunadi Sera na Ilani bora ya Maendeleo ya CCM inaendelea. #KuraKwaMagufuli2020 #T2020JPM

HABARI KUBWA ZILIZOPO KATIKA MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMANNE OKTOBA 13

Image
Tanzanian Today's Newspapers Tuesday 13th October, 2020.

VIDEO: MAMBO YAMENOGA...MUDA NDIO HUU MTANZANIA...

Image
Haya sasa hayawi hayawi sasa yamekuwa!! Ewe Mtanzania tukiwa tumebakiwa na Siku 16 tu Kuelekea Uchaguzi Mkuu, Fanya hima sasa kuhakiki taarifa za kitambulisho chako cha Mpiga kura haraka iwezekanavyo ili Ujihakikishie Oktoba 28 unampigia kura Dkt John Pombe Magufuli kuwa Rais wa Tanzania pamoja na Wabunge na Madiwani wote wa CCM. Tembelea vis.nec.go.tz kuhakiki taarifa zako sasa. Kura Zote ni Magufuli na CCM tu.

HABARI KUBWA ZILIZOPO KATIKA MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMATATU OKTOBA 12

Image
Tanzanian Today's Newspapers Monday 12th October, 2020.

JPM KUENDELEA KUUNGURUMA JIJINI DAR...MITAMBO INAHAMIA ILALA - JUMATATU, 12 OKTOBA

Image
JPM anaendelea kuunguruma ndani ya Jiji la Dar es Salaam na Mara hii mitambo imehamia ndani ya Wilaya ya Ilala. Ni Siku ya Jumatatu Oktoba 12, Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli atazizima na kuendelea na Mikutano yake ya Kampeni Kwenye Viwanja Vya Kinyerezi, Ilala. Jiji Litasimama hivyo Mwambie Mwenzako kwamba mpango mzima Jumatatu ni Kinyerezi, Ilala. #T2020JPM.

MAMA SAMIA SULUHU AENDELEA KUCHANJA MBUGA...HAYA HAPA YALIYOJIRI LEO 10 OKTOBA, 2020

Image
Kutoka Rukwa. Yaliyojiri kwenye Mwendelezo wa Kampeni za Kunadi Sera za CCM, Kunadi Ilani na Kuomba Kura kwa Wananchi Kwenye Mkutano wa Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM Mama Samia Suluhu Hassan wa Wilaya ya Nkasi Kaskazini Mkoani Rukwa. Mama anaendelea Kuchanja Mbuga kuongea na Watanzania na Kumuombea Kura Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli.
#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM

MITANO MINGINE KWA JPM: YAJAYO NI NEEMA TUPU...SHIRIKI KATIKA KUANDIKA HISTORIA HII

Image
MITANO MINGINE KWA JPM: YAJAYO NI NEEMA TUPU...SHIRIKI KATIKA KUANDIKA HISTORIA HII

HABARI KUBWA ZILIZOPO KATIKA MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMAMOSI OKTOBA 10

Image
Tanzanian Today's Newspapers Friday 09th October, 2020.

HABARI NA PICHA: Aliyoyaongea Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM Mama SAMIA SULUHU Kwenye Mkutano Wake Rukwa

Image
Kutoka Mkoani Rukwa. Aliyoyaongea Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM Mama Samia Suluhu Hassan Kwenye Mkutano wake wa Kumnadi Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli Uliofanyika Kwenye Mji wa Namanyele Uliopo Wilayani Nkasi Mkoani Katavi. @ccmtanzania
#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM

HABARI NA PICHA: Yote Aliyozungumza Shujaa wa Afrika, John MAGUFULI Katika Mkutano Wake Mkubwa Jijini DSM

Image
Habari picha. Shujaa wa Afrika ameunguruma ndani ya Jiji la Dar es Salaam. Yote aliyoyazungumza Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli Kwenye Mkutano wake Mkubwa sana wa Kampeni Uliofanyika ndani ya Uwanja wa Taifa wa Mkapa Kwenye Safari ya Kunadi Sera, Ilani ya CCM na Kuomba Kura kwa Wananchi.
#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM

HABARI KUBWA ZILIZOPO KATIKA MAGAZETI YA TANZANIA LEO IJUMAA OKTOBA 09

Image
Tanzanian Today's Newspapers Friday 09th October, 2020.

LITAKUFA JITU: Kesho Uwanja wa Taifa wa MKAPA Kutawaka Moto...

Image
JIJI LA DAR KUHAMIA KWA MKAPA KESHO....USIKUBALI KUPITWA MDAU.

HABARI KUBWA ZILIZOPO KATIKA MAGAZETI YA TANZANIA LEO ALHAMISI OKTOBA 08

Image
Tanzanian Today's Newspapers Thursday 08th October, 2020

JPM KULISIMAMISHA JIJI LA DAR KWA SIKU NNE...SHUGHULI INAANZA IJUMAA HII UWANJA WA MKAPA

Image
RATIBA KAMILI YA KISHINDO CHA JPM DSM: Kituo Kinachofuata ni Dar es Salaam. Ni Ijumaa Oktoba 09, 2020 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli ataendelea na Mikutano yake ya Kampeni za Kunadi Ilani ya CCM, Sera na Kuomba Kura Mkoani Dar es Salaam. Dar es Salaam Baba Mwenye nyumba amefika. Unamkosaje Sasa?. #T2020JPM

HABARI KUBWA ZILIZOPO KATIKA MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMATANO OKTOBA 07

Image
Tanzanian Today's Newspapers Wednesday 07th October, 2020

US leave Tanzania in peace, you have your Trump to deal with

Image
US leave Tanzania in peace, you have your Trump to deal with

Aliyoyazungumza Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Kwenye Mkutano wake na Wazee...Afafanua Mwenendo wa Kampeni za CCM

Image
Habari na Picha. Aliyoyazungumza Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally Kakurwa Kwenye Mkutano wake na Wazee wa Zanzibar Uliofanyika siku ya Jana Kwenye Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar. Dkt Bashiru amepata nafasi ya Kuwaambia Wazee wa Zanzibar Mwenendo wa Kampeni za CCM. #T2020JPM #Mwinyi2020.

HABARI KUBWA ZILIZOPO KATIKA MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMANNE OKTOBA 06

Image
Tanzanian Today's Newspapers Tuesday 06th October, 2020

HABARI NA PICHA : Aliyozungumza MAMA SAMIA SULUHU Kwenye Mkutano Wake Mkubwa wa Kampeni KATAVI

Image
Habari na Picha. Aliyoyazungumza Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM Mama Samia Suluhu Hassan Kwenye Mkutano wake Mkubwa wa Kampeni za Kunadi Ilani, Kunadi Sera za CCM na Kuomba Kura kwa Wananchi, Mkutano Uliofanyika Wilayani Mlele Mkoani Katavi. #T2020JPM #Mwinyi2020.

Makubwa Kuhusu Watumishi na John Pombe MAGUFULI

Image
WATUMISHI NA MAGUFULI:  Haya ni baadhi ya mambo  yaliyotekelezwa kwa vitendo kwa watumishi wa Umma chini ya uongozi wa Dkt John Pombe Magufuli ambaye ni Mgombea Urais Kwa tiketi ya @ccmtanzania.
Itoshe tu kusema  watumishi  wote tunaimani na JPM.
#T2020JPM #VitendoVinaSauti #MITANOTENA #KaziZaidi

HABARI KUBWA ZILIZOPO KATIKA MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMATATU OKTOBA 05

Image
Tanzanian Today's Newspapers Monday 05th October, 2020

MBOWE KWA HILI LA VYAMA UNAFANYA UKABURU

Image
Na Mwandishi wetu✍🏽
CHADEMA ni chama kinachojinasibu kwamba kinatetea uhuru wa kujieleza, kwamba ni chama ambacho kikiigia madarakani kitadumisha demokrasia, na kimekuwa mstari wa mbele kushutumu serikali kwamba inaminya hiyo demokrasia wanayoitaka na kuahidi kuitetea.