Nafasi za kazi ya ulinzi Kampuni ya Nathanai Company

Vacancy title: Security Officer
Jobs at: Nathanai Company

Deadline of this Job:
30th June 2019

Duty Station:Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Thursday, June 13, 2019 , Base Salary: Not Disclosed

JOB DETAILS: Tangazo la nafasi za kazi ya ulinzi Kampuni ya ulinzi ya nathanai iliyopo ubungo riverside dar es salaam mkabala na shule ya msingi kibangu inatangaza nafasi za kazi ya ulinzi kwa mikoa ya Dar es salaam na dodoma .

Job Responsibilities: Not Specified
Job Skills: Not Specified

SIFA ZA MUOMBAJI• Awe mwaminifu
• Awe amepitia mafunzo ya ulinzi
• Awe mzoefu katika maswala ya ulinzi
• Awe mtanzania mwenye umri wa miaka 18 hadi 45
• Awe na wadhamini wawili wanaotambulika kikazi na Makazi.
• Ajue kusoma na kuandika

Job Education Requirements: Not Specified
Job Experience Requirements: Not Specified

Job application procedure Maombi yaletwe ofisini moja kwa moja na muombaji mwenyewe. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba 0768 - 822472 /0677- 023523 (dar es sala).
Kwa dodoma ofisi ipo bahi road. Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0653 - 000004.
Mwisho wa kupokea maombi ni 30/06/2019

Artikel Terkait