Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge

HALMASHAURI YA WILAYA YA SIKONGE

(Barua zote ziandikwe kwa Mkurugenzi Mtendaji)
Anuani ya Simu:
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji (W),
Simu: +255 659 566703
S.L.P.70,
Fax: SIKONGE
Email : ded@sikongedc. go.tz.
----------------------------------------
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya  Sikonge anawatangazia nafast za kazi ztfuatazo Watanzania wenye sifa ztltzotajwa hapa chini; kwa Kila kazi. Waombeji wawasilishe barua ya maombi kwa kutumia anuani iliyopo chini ikiambatanishwa na sifa binafsi (cv) pamoja na nakala za vyeti vya elimu na taaluma aliyonayo. 

MWISHO WA KUWASILISHA
14/06/2019 SAA 9.3O MCHANA.

1. AFISA NYUKI DARAJA II . NAFASI 1

SIFA ZA]MWOMBAJI: 
  • Awe na Shahada katika fani ya ufugaji nyuki
  • Awe na Elimu ya Sayansi ya mimea,
  • Awe na Elimu ya Wadudu
  • Awe na Elimu ya wanyama kutoka chuo chochote  kinachotambuliwa na Serikali
KAZI NA MAJUKUMU
1. Kusimamia uanzishaji wa hifadLrt za nyuki na manzuki
2.Kutangaza sera, sheria zaufuga"ji nyuki
3. Kufundisha masomo ya fani ya ufugaji nyuki
4. Kukusanya takwimu za rasilimati na ufugaji nyuki
5. Kupanga na kupima ubora wa mazao ya nyuki

AINA YA AJIRA  :Ajira ya Mkataba (Contract)

MSHAHARA: Tsh. 500,000 /= kwa mwezi kulingana na viwango  vilivyoidhinishwa na Baraza la Madiwani

2. MHANDISI (UJENZI) DARAJA II - NAFASI 1
SIFA ZA MWOMBAJI: Awe na Shahada Stashahada ya Juu ya Uhandisi kutoka vyuo  vikuu vinavyotambuliwa na Serikali katika mojawapo ya fani zaUhandisi

KAZI NA MAJUKUMU
1. Kufanya ukaguzi wa Barabara, madaraja na majengo mbalimbali.
2.kufanya kazi chini ya uangalizi wa Mhandisi aliyesajiriwa (Proffessional Engineer) na bodi ya usajili ya Wahandisi ili kupata uzoefu unaotakiwa.
3. Kuchunguza Vyanzo vya ajali barabarani
4. Kufuatilia utekelezaJr wa sheria na kanuni za ujenzr wa Barabara na Majengo.
5. Kutayarisha bajeti ya mwaka ya ujenzi na matengeraezo ya Barabara, Madaraja na Majengo.
6. Kusimamia na kuratibu kazt za Barabara, Madaraja na
Majengo zinazotolewa na Makandarasi.

AINA YA AJIRA
Ajira ya Mkataba (Contract) 

MSHAHARA:
Tsh. 500,000 / =kw a mwezi kulingana na viwango vilivyoidhinishwa na Baraza la Madiwani
Barua za Maombi zitumwe kwa;-
Mkurug enzi Mtendaji (WA,
Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge,
S.L.P 70,
SIKONGE.

Tangazo limetolewa Na: -
Eng. Paschal Ngunda
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji
SIKONGE.

Artikel Terkait