Posts

2,103 Job Vacancies From Government, Public and Private Sectors Tanzania | Today 24th October, 2020

Image
📢USIPITWE CHECK AJIRA/FURSA/TAARIFA MUHIMU ZA ELIMU HARAKA NA KIRAHISI ZAIDI! INSTALL APP YETU YA AJIRALEO TANZANIA, BONYEZA HAPA!💥💥NOTE: KAMA WATUMIA IPHONE AU APP INAGOMA KWENYE SIMU YAKO, USIJALI; JIUNGE NASI TELEGRAM, BONYEZA HAPA💥 💥IKIWA UNAPATA SHIDA KUFUNGUA LINK TUCHEKI WHATSAPP. TUMA TEXT NENO AJIRALEO TANZANIA. KUTUMA,BONYEZA HAPA💥

HABARI PICHA: Aliyozungumza MAGUFULI Leo BAGAMOYO Katika Mkutano Wake Mkubwa wa Kampeni

Image
Shujaa Dkt John Pombe Magufuli is Back na Leo Jumatatu Oktoba 19 ameendelea kuwasha Mitambo ya Kunadi Sera na Ilani bora sana ya Maendeleo ya CCM na haya ndiyo aliyoyaongea Mgombea huyo wa Urais wa CCM Kwenye Mkutano wake Mkubwa wa Kampeni Uliofanyika Viwanja Vya Mwanakalenga, Bagamoyo Mkoani Pwani.
#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM

HABARI PICHA: ALIYOZUNGUMZA MAGUFULI LEO KAWE KATIKA MKUTANO WAKE MKUBWA WA KAMPENI

Image
Habari picha. Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli ameendelea Kunadi Sera na Ilani ya CCM Kwenye Mkutano wake wa Mwisho Mkoa wa Dar es Salaam Kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe. Haya ndiyo Aliyoyaongea Kwenye Mkutano huo wa Kufungua Awamu ya 6 na ya mwisho ya Kampeni za CCM. #KuraKwaMagufuli2020 #T2020JPM

HABARI PICHA: KAWE HAPATOSHI MUDA HUU...Cheki Yanayoendelea Kujiri Kwenye Viwanja Vya Tanganyika Packers

Image
Yanayoendelea Kujiri Kwenye Viwanja Vya Tanganyika Packers Vilivyopo Kawe kwenye Mkutano Mkubwa wa Kampeni za Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli. Viwanja vimejaa na Vinaendelea Kupendezeshwa na Sera nzuri za CCM zinazonogeshwa pia na Kazi za Sanaa za Wasanii wetu Wakiongozwa na Diamond Platnumz, Harmonize, Alikiba, Nandy na Wengine wengi.
#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM

MAJALIWA Aunguruma Zanzibar....Haya Hapa Makubwa Aliyoyaongea Leo Akimnadi HUSSEIN MWINYI

Image
Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM-Taifa Ndugu Kassim Majaliwa ameunguruma Visiwani Pemba leo na haya ndio aliyoyaongea Kwenye Mkutano Mkubwa wa Kampeni za Kumnadi Mgombea Urais wa CCM Visiwani humo Dkt Hussein Ali Mwinyi Kwenye Viwanja Vya Mchanga Mdogo. #YajayoniNeematupu #Mwinyi2020

HABARI PICHA: MAGUFULI AITIKISA UBUNGO LICHA YA MVUA KUNYESHA....HIZI HAPA KAULI ZAKE AKINADI SERA LEO

Image
Habari picha. Nukuu za Aliyoyaongea Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM Dkt John Pombe Magufuli Leo Jumanne Oktoba 13 Kutoka Kwenye Viwanja Vya Barafu, Mburahati Jijini Dar es Salaam. Safari ya mbeba maono kukutana na Wananchi Kunadi Sera na Ilani bora ya Maendeleo ya CCM inaendelea. #KuraKwaMagufuli2020 #T2020JPM

HABARI KUBWA ZILIZOPO KATIKA MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMANNE OKTOBA 13

Image
Tanzanian Today's Newspapers Tuesday 13th October, 2020.